80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

ANTONIO GRIEZMANN NAPENDA KUCHEZA TIMU MOJA NA STAA HUYO

Na Yego Sholla

Nyota wa Atletico Madrid Antoine Griezmann amesema kwamba angependa kucheza na Paul Pogba kila siku, hata hivyo amesisitiza kwamba hamaanishi kwamba anataka kuhamia Manchester United.

Griezmann, 27, amekuwa akihusishwa na kuhamia katika klabu hiyo ya Uingereza pamoja na vinara wa La Liga , Barcelona baada ya mapema wiki hii kusema kwamba anataka kukamilisha mustakabali wake kabla ya fainali za kombe la Dunia.

" Mustakabali wangu utaamuliwa kabla ya kombe la Dunia , nataka kwenda Urusi nikiwa na amani ya kiakili."

" Nimemuambia Dada yangu kwamba , haijalishi kama nitabaki au nitaondoka, natakiwa kuamua kabal ya kwenda Urusi."

Na huku mshambuliaji huyo akikiri kwamba itakuwa poa sana kucheza pamoja na kiungo wa United Pogba kila siku , amekanusha kwamba ana mpango wa kuhamia United.

" Kama tungekuwa hivi kila siku " Alisema Pogba kupitia Canal + pindi walipokuwa wanahojiana wenyewe.

Griezmann akajibu , " Ingekuwa poa sana."

" Lakini tambua hili , hiyo haimaanishi kwamba nataka kwenda Manchester United."

Griezmann ameshaweka kambani magoli 23 katika mechi 38 msimu huu za mashindano yote katika msimu wake wa nne akiwa na Atletico Madrid.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE