80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

ALICHOKISEMA SHAFFIHDAUDA BAADA YA NYAMLANI KUCHUKUA NAFASI YA WAMBURA

Jumamosi ya March 24-2018, Kamati tendaji cha shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imemteua Ndg Athuman Nyamlani kuwa kaimu Makamu wa Rais wa shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Nyamlani amechukua nafasi ya Michiel Richard Wambura aliyefungiwa maisha na kamati ya maadili kutojihusisha na masula ya mpira. Ingawa Michael Richard Wambura amekata rufaa katika kamati ya Rufaa ya TFF.

 Baada ya tukio hilo, mchambuzi wa habari za michezo hapa nchini Shaffih Dauda alionekana kumpinga Athumani Nyamlani kugombea nafasi ya Urais wa TFF kama mbadala wa makamu wa Rais Michael Wambura ambaye amefungiwa maisha kujihusisha na soka.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Shaffih Dauda alipost picha ya Athumani Nyamlani na kuandika maneno haya
“Sitaki kuwa mnafiki bro you don’t deserve kuwa makamu wa raisi wa TFF, katika hili natofautiana na Rais Karia,nina sababu zaidi ya milioni moja why hafai”.
Kama utakuwa haufahamu ni kuwa Athumani Nyamlani ambaye anatajwa kurudi kuwa makamu wa Rais wa TFF, aliwahi kuwa makamu wa Rais wa shirikisho hilo na uchaguzi uliyopita wa TFF alitangaza kugombea nafasi ya Urais kabla ya baadae kutangaza kujitoa katika mchakato huo.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE