80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

ALICHOKISEMA MSUVA BAADA YA USHINDI DHIDI YA DR CONGO

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' baada ya kupoteza mchezo wa dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwa magoli 4-1 nchini Algeria jana ilicheza mchezo mwingine wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya DR Congo.

Mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es salaam, tukishuhudia Tanzania kuibuka na ushindi wa magoli 2-0, magoli hayo yakifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 74 na Shiza Kichuya dakika ya 85.

Baada ya kukamilika kwa mchezo huo mshambuliaji wa pembeni wa Stars anayekipiga katika klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki ligi kuu nchini Morocco Simon Msuva ambaye alihojiwa na vyombo vya habari.

Msuva akihojiwa alisema “Tunashukuru vyombo vya habari kwa kutupa sapoti na mashabiki ambao wamekuja kutusapoti sisi kwa upande wetu tunamshukuru Mungu kwa ushindi tulioupata leo, tunavyocheza mechi nyingi kuna kitu flani hivi tunakipata na ukiangalia wachezaji tunaocheza nao wengi wao wanacheza Ulaya na sisi tukiangalia wachezaji wanaocheza nje ni wachache”.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE