80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

AISHI MANULA KUIKOSA DR CONGO

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Morocco, amesema maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi ya Congo yameenda vizuri lakini mechi haitakuwa mrahisi.

Morocco ameyasema hayo ikiwa imesalia siku moja kuelekea mchezo huo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA utakaopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kuelekea mchezo huo, Morocco amesema Stars itawakosa wachezaji, Abdulazizi Makame ambaye aliumia mazoezini pamoja na Mlinda Mlango Aishi Manula ambaye bado hajapona majeraha yake.

Kukosekana kwa Manula kutamfanya Golikipa aliyeanza dhidi ya Algeria, Mohammed Abdulrahman kuanza dhidi ya Congo pia.

"Tutawakosa Aishi Manula ambaye bado hajawa fiti, hivyo kipa aliyeanza dhidi ya Algeria ataendelea kuwa langoni, vilevile Makame naye hatoweza kucheza baada ya kuumia mazoezini" amesema Morocco.

Mbali na hayo, Morocco amesema wanahitaji kushinda mechi hiyo ili wajiweke pazuri katika viwango vya ubora wa soka duniani (FIFA).

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE