80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

AC MILAN:WANATARIAJIA KUMPA GATTUSO MKATABA MPYA

Na Yego Sholla

AC Milan wanatarajiwa kumpa mkataba mpya kocha Gennaro Gattuso kuelekea mechi ya ' Derby ' dhidi ya Inter Milan, Aprili 4.

Gattuso amebadilisha matokeo na kiwango cha AC Milan tangu alipoingia Madarakani kuchukua nafasi ya Vincenzo Montella mwezi Novemba mwaka Jana.

Kocha huyo wa zamani wa timu ya vijana ya Milan ameiongoza Milan mpaka hatua ya 16 bora wa Europa na wakiwa na matumaini ya kufuzu kucheza Ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya kushinda mechi nane katika mfululizo wa mechi 10 ambazo hawakupoteza.

" Pindi tutakapofungua mayai yetu Pasaka hii, tutaona mkataba mpya wa Gennaro Gattuso ndani yake."

" Nimekuwa nikiwaambia kwa muda mrefu , licha ya kwamba mnajua yeye kama mchezaji tu , Rino (Gattuso) tayari ni kocha muhimu sana na miaka kadhaa ijayo atakuwa mmoja wa makocha bora Duniani , kwahiyo ni sawa kabisa kwa Milan kujaribu kumpiga kitanzi hapa." Amesema Mkurugenzi wa Michezo wa Milan,  Massimiliano Mirabelli

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE